Reasonable price kwako ni ipi? K'koo kuna vichochoro vya kuanzia lak5 kwa mwezi mpaka M3! Pia ungesema unahitaji kwa ajili ya shughuli zipi, wadau wangekushauri sehemu nzuri kulingana na shughuli zako! Tegatega lakn humu JF kuna madalali wa uweli tu, unaweza kupata.