natafuta engine ya landcruiser gx

Duly zura

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
411
Reaction score
37
natafuta engine ya landcruiser gx iwe kwenye hali nzuri sana kama unayo tuwasiliane kwa namba 0714478797
 
Nenda Karume pale kwenye soko jipya la mkono wa kulia unafata mtaa wa Lindi utaona car wash unaipita kidogo mkono wa kushoto kuna mtaa unaingia duka la kwanza kulia wanauza injini zote za toyota landcruiser
 
mkuu hv engine ya suzuki escudo naeza pata kwa ngapi?
 
Kaka gx si zinatumia engine 1HZ which ni very common every where utapata ni the same na hardtop
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…