N ndamally Member Joined Sep 16, 2014 Posts 11 Reaction score 1 Oct 13, 2014 #1 Natafuta eneo la kukodi nifungue pub Sifa ya eneo 1. Mvuto kwa mteja 2. Zuri kwa hiyo biashara 3. Unafuu wa kodi 4. Liwepo dar , mwanza , mbeya ,iringa ila napokea ushauri kwa mkoa mwengine wowote
Natafuta eneo la kukodi nifungue pub Sifa ya eneo 1. Mvuto kwa mteja 2. Zuri kwa hiyo biashara 3. Unafuu wa kodi 4. Liwepo dar , mwanza , mbeya ,iringa ila napokea ushauri kwa mkoa mwengine wowote