Natafuta eneo Kibaha

Nikubuka

Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
20
Reaction score
7
Ndugu wanajamvi,
Nilikuwa natafuta eneo la shamba ambalo liko katika miundombinu ya umeme na maji maeneo ya kibaha. Sio lazima iwe karibu na barabara kuu, hata likiwa ndani itakuwa poa endapo litakuwa karibu na umeme na maji.

Ahsanteni.
 
Lipo heka moja, Mlandizi kijiji cha Kikongo "chekereni" kilometa 7 kutoka Morogoro road. Miundombinu ya umeme na maji iko umbali usiozidi mita 100 kutoka kwenye shamba.

Tsh. 3,500,000
 
Hio ni gharama ya kukodi au kuuza eneo.

Kama ni kukodi hio ni gharama ya miezi mingapi ?
 
Ndugu wanajamvi,
Nilikuwa natafuta eneo la shamba ambalo liko katika miundombinu ya umeme na maji maeneo ya kibaha. Sio lazima iwe karibu na barabara kuu, hata likiwa ndani itakuwa poa endapo litakuwa karibu na umeme na maji.

Ahsanteni.
kuna hekari tatu na robo kongowe dakika 5 kutoka morogoro road ni barabarani kabisa umeme na maji vipo 0744426662
 
Ndugu wanajamvi,
Nilikuwa natafuta eneo la shamba ambalo liko katika miundombinu ya umeme na maji maeneo ya kibaha. Sio lazima iwe karibu na barabara kuu, hata likiwa ndani itakuwa poa endapo litakuwa karibu na umeme na maji.

Ahsanteni.
Mkuu mimi ninazo ekari tano zipo kongowe kijiji cha soga maeneo ya mradi wa reli ya kisasa unakojengwa (railway standard gauge) Kilimeta 7 kutoka kongowe mwisho na miundo mbinu mhimu kama vile maji, umeme, barabara nzuri na safi zinapatikana na huduma za kijamii kama vile zahanati zipo na eneo lenyewe lipo karibu na shule ya sekondari. Bei ya ekari moja ni shilingi milion sita (6,000,000) ila maongezi na punguzzo yapo mkuu. nitafute kwa namba 0717330230
 
Lipo heka moja, Mlandizi kijiji cha Kikongo "chekereni" kilometa 7 kutoka Morogoro road. Miundombinu ya umeme na maji iko umbali usiozidi mita 100 kutoka kwenye shamba.

Tsh. 3,500,000
Ndio kwenye eneo la viwanda?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…