EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,410
- 21,131
Mkuu kama wewe matawi fika tu pale mlimani city utapata hivyo vyote, ukienda maduka haya ya mtaani wanauza zilezile za Kariakoo kwahyo hizo waachie akina billnass na kina dogo janja
Kwani wewe umetoka wapi ambako Nguo hazifanani kabisa? Sisi tushazoea kuvaa uniform hapa kwa jijini kwa Prof Asadyaani mkuu kila duka unaloenda manguo ni hayohayo tu.
Kuna nguo at least sio kila mtu anayo babu ila nyingine katika watu kumi wanne wanayoKwani wewe umetoka wapi ambako Nguo hazifanani kabisa? Sisi tushazoea kuvaa uniform hapa kwa jijini kwa Prof Asad
we ntakufunga mie bashite
Nenda Woolworths(w stores).Habari za jioni wadau poleni na majukumu.Mimi naomba kujuzwa maduka yanayouza pamba kali na original.Sitaki nguo mdosho ambazo zimezagaa kila mtu anayo mtaani.Pia nilikuwa naulizia ninapoweza kupata boot original za Timberland sio haya feki wanayovaa mabrothermen mtaani ambayo ukiyavaa mwezi tu yamechanika.Kwa kifupi nataka niyajue maduka yanayouza jeans,boots,mashati na Jackets za ukweli kwa hapa dar.Kwa upande wa boots nataka boot kama hilo hapo chini
Liko wapi hilo mkuu silifahamu
Tanzania hakuna maduka hayo, vitu vingi ni counterfeit, na Sheria zetu si dhaifu bali ni legevu, zinaruhusu wizi wa intellectual properties za watu. If you want to step up your game, take flight to SA, Jozi you will get what you want. Otherwise, kibongo bongo ni mchina kwa kwenda mbele
mkuu kitu kama chenyewe nimekifagilia niko tayari kulipa any priceHuko awaachie wakina kichere wa TRA wanaovaa Levis org,kwenda w/worth akakuta t-shirt ni sh.75,000 asishangae ni bei ya kawaida hio.
Sent from my iPhone using JamiiForums
mkuu kitu kama chenyewe nimekifagilia niko tayari kulipa any price
Kuna bwana namuonaga insta huko inasemekana ana pamba og... nyingi naonaga ni perculiar
Sent from my iPhone using JamiiForums