Habarini za kwenu wadau? Nimatumaini mu bukheri wa afya. Sasa ngoja kwenye topic. Nikwamba wadau wangu wa jukwaa naomba msaada wenu. My huawei y 330 imepasuka display yake baada ya kudondoka chini. Je ni wap naweza kupata hiki kioo. Na nipo mwanza town. Jaman kumbuken sio touch iliyo pasuka ila ni kioo cha ndan.