shabani athumani saidi Member Joined Nov 21, 2018 Posts 5 Reaction score 1 Nov 22, 2018 #1 jamani CPU nahitaji kwa bei nafuu kabisa
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,597 Reaction score 22,338 Nov 22, 2018 #2 shabani athumani saidi said: jamani CPU nahitaji kwa bei nafuu kabisa Click to expand... - Sema bajeti yako - Ipo hii i5
shabani athumani saidi said: jamani CPU nahitaji kwa bei nafuu kabisa Click to expand... - Sema bajeti yako - Ipo hii i5
Alexander The Great JF-Expert Member Joined Aug 28, 2018 Posts 4,514 Reaction score 23,696 Nov 22, 2018 #3 DESKTPO ndio nini? Utaweza kuitumia kweli kama jina tu kuandika linakushinda!!!!
KijanaHuru JF-Expert Member Joined Jan 7, 2017 Posts 1,822 Reaction score 2,329 Nov 22, 2018 #4 Kuna Hii Hapa Dell Optplex 740 ya kulala HDD 500 Ram GB 6 Ilikuwa inatumika katika lybraly so inamzigo wa kutosha Mlango ni DVD RW 250,000/= Tu MKuu Ukiihitaji nicheki uipate Kwa kazi nzito inafaa hasa hizi za lybraly nk
Kuna Hii Hapa Dell Optplex 740 ya kulala HDD 500 Ram GB 6 Ilikuwa inatumika katika lybraly so inamzigo wa kutosha Mlango ni DVD RW 250,000/= Tu MKuu Ukiihitaji nicheki uipate Kwa kazi nzito inafaa hasa hizi za lybraly nk
shabani athumani saidi Member Joined Nov 21, 2018 Posts 5 Reaction score 1 Nov 22, 2018 Thread starter #5 desktop haya sema lingine,writting error zipo tu
shabani athumani saidi Member Joined Nov 21, 2018 Posts 5 Reaction score 1 Nov 22, 2018 Thread starter #6 bajet yangu ni 100000
KijanaHuru JF-Expert Member Joined Jan 7, 2017 Posts 1,822 Reaction score 2,329 Nov 22, 2018 #7 shabani athumani saidi said: bajet yangu ni 100000 Click to expand... Oooo pole mkuu Kama utakubali uchukue ikiwa imepunguzwa sifa na ikawa na sifa hizi 1gb ram hdd 180GB
shabani athumani saidi said: bajet yangu ni 100000 Click to expand... Oooo pole mkuu Kama utakubali uchukue ikiwa imepunguzwa sifa na ikawa na sifa hizi 1gb ram hdd 180GB