M mapundapetro Member Joined Dec 5, 2016 Posts 38 Reaction score 17 Jan 22, 2020 #21 Yohana Yared said: Habari wanajukwaa, Fursa natafuta dereva mwenye uzoefu wa kutosha nina gari aina ya Noah aje nimpe aniletee hesabu kwa siku 40,000. Au kama una hotel, shule, kampuni wanaohitaji gari aina ya Noah njoo tuongee. Mawasiliano: 0764888544 or 0714808918 Click to expand... mkuu Bajaji huna ya mkataba
Yohana Yared said: Habari wanajukwaa, Fursa natafuta dereva mwenye uzoefu wa kutosha nina gari aina ya Noah aje nimpe aniletee hesabu kwa siku 40,000. Au kama una hotel, shule, kampuni wanaohitaji gari aina ya Noah njoo tuongee. Mawasiliano: 0764888544 or 0714808918 Click to expand... mkuu Bajaji huna ya mkataba
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,194 Reaction score 33,566 Jan 22, 2020 #22 40,000 × 365 = 14,600,000 Faza kwa mwaka mmoja unataka kurudisha pesa na faida juu?? Haiwez kuwa rahisi hivi Sent using Jamii Forums mobile app
40,000 × 365 = 14,600,000 Faza kwa mwaka mmoja unataka kurudisha pesa na faida juu?? Haiwez kuwa rahisi hivi Sent using Jamii Forums mobile app
Yohana Yared Member Joined Apr 8, 2017 Posts 9 Reaction score 1 Jan 22, 2020 Thread starter #23 Zisharudisha sana imezaa uber mbili ila co rahisi kama unavodhani Countrywide said: 40,000 × 365 = 14,600,000 Faza kwa mwaka mmoja unataka kurudisha pesa na faida juu?? Haiwez kuwa rahisi hivi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Zisharudisha sana imezaa uber mbili ila co rahisi kama unavodhani Countrywide said: 40,000 × 365 = 14,600,000 Faza kwa mwaka mmoja unataka kurudisha pesa na faida juu?? Haiwez kuwa rahisi hivi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Yohana Yared Member Joined Apr 8, 2017 Posts 9 Reaction score 1 Jan 22, 2020 Thread starter #24 Hapana chief kwa bajaji na pikipiki sina mapundapetro said: mkuu Bajaji huna ya mkataba Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana chief kwa bajaji na pikipiki sina mapundapetro said: mkuu Bajaji huna ya mkataba Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
W Wise J Member Joined Jul 31, 2019 Posts 47 Reaction score 113 Mar 5, 2020 #25 mkuuu ile noah bado unayo au ishapata mtu