Majesty S P
Member
- Sep 24, 2020
- 62
- 87
Wewe ofisi unazofanyia kazi unalipishwa maji, parking, wash room, vifaa vya stationary na umeme unavyotumia ukiwa kazini?Watanzania bwana sasa mnaona hyo hela ndogo basi tufanye
Kula kwa siku 5000×30= 150,00
Chumba kwa mwezi elfu 20,000/= minimum
Umeme na maji elfu 6000/= minimum
Jumla ni 176,000/= +40000/= total 216,000/=
Kuna watu wanafanya kazi kwa siku ni elfu 5000 kwa masaa 12 hapo nauli na kula hapo hapo pamoja na kodi tena wana bachelor mtu kasema kwa mwezi elfu 40 mnaanza nyodo ndio maana ccm haitakaa itoke madarakani kwa ujinga huu wa watu wasiochanganua mambo.
Wewe ofisi unazofanyia kazi unalipishwa maji, parking, wash room, vifaa vya stationary na umeme unavyotumia ukiwa kazini?
Mfanyakazi wa ndani alale nje na kazi afanye muda gani. Unatafuta sababu kuhalalisha unyonyaji
Out of topic.
Natafuta dada wa kazi.
Umri miaka 13-25
Awe mcha Mungu.
Nyumba ipo Arusha,Mianzini.
Nyumba ina Mama na mtoto wa miaka 5.
Mshahara 40k/month (ila kuna maelewano)
Kula kulala juu ya familia.
Kwa mawasiliano zaidi +255 652 773325.
Nimeajiri na najua nachozungumza,mimi namtoa lakiSiku ukionana na mfanyakazi yeyote yule muulize mshahara kwae kiasi gani?
Akikwambia anapokea juu ya 50k shukuru Mungu
Mimi nimetolea mfano kama ataamua kupewa hela na kujitegemea yeye mwenyewe kwa kila kitu.Wewe ofisi unazofanyia kazi unalipishwa maji, parking, wash room, vifaa vya stationary na umeme unavyotumia ukiwa kazini?
Mfanyakazi wa ndani alale nje na kazi afanye muda gani. Unatafuta sababu kuhalalisha unyonyaji