Natafuta computer kwa bei ya jumla

kigogo1ivi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
539
Reaction score
343
Ninahitaji kujua mahali ninapoweza kupata lap top kwa bei ya jumla itakua ni vyema kama nikaijua zinapatikana wapi au nchi gani kwa bei nafuu. Msaada wakuu.
 
Ninahitaji kujua mahali ninapoweza kupata lap top kwa bei ya jumla itakua ni vyema kama nikaijua zinapatikana wapi au nchi gani kwa bei nafuu. Msaada wakuu.

Unataka hapa Tanzania au unataka kuagiza nje? uwezo wako wa kuchukua mzigo ni kiasi gani?
 
Ninataka kutokea hapa au nnje maana ninaitaji mzigo mkubwa
 
wasiliana na hawa jamaa, ni wazuri sana na ni vunja bei hapa tanzania. wana matawi dar,dom,arusha,kilimanjaro na mwanza....wanaitwa uhuru computers

0655 52 44 44
 
wasiliana na hawa jamaa, ni wazuri sana na ni vunja bei hapa tanzania. wana matawi dar,dom,arusha,kilimanjaro na mwanza....wanaitwa uhuru computers

0655 52 44 44

kama anataka mzigo mkubwa akinunua kwa hao faida itakuwa ndogo!
 
TUTAFUTE KWA NO HII 0754734009 (HATA KWA WHASAPP), WE SOURCE AND IN COLLABORATION WITH FOREIGN COMPANIES, TUTAKULETEA LAPTOPS ZA UHITAJI WAKO HADI ULIPO. GHARAMA ZAKE NI NAFUU, NAWE HAKIKA UTAPATA FAIDA. TUMEFANYA HIVYO KWA WATEJA KADHAA NA WAMERIDHIKA SANA TU. KUAGIZA SI CHINI YA LAPTOPS 15. ( tunazitafuta nje ya nchi, zenye viwango, zinakuja na mouse na bags).
Visit us at KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…