Natafuta chumba

Jemima Mrembo

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
2,920
Reaction score
8,538
Natafuta chumba kizuri sana mitaa ya Mwenge kiwe master, choo, bafu, jiko na mahitaji yote muhimu.

Kiwe eneo lenye usalama wa kutosha na kiwe jirañi na lami.

Chumba hiki ni kwa ajili ya wageni wangu wa ofisi. Kikiwa fully furnished itakuwa nzuri sana.

Karibu

+255755233968
 
Natafuta chumba kizuri sana mitaa ya Mwenge kiwe master, choo, bafu, jiko na mahitaji yote muhimu.

Kiwe eneo lenye usalama wa kutosha na kiwe jirañi na lami...
CHUMBA CHA WAGENI WA OFISI kwa lengo la Mqzungumzo, Mikutano, Kulala, Chakula Nk nk nk.
Nyooosha maelezo Jemmy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…