sir mweli JF-Expert Member Joined Feb 8, 2017 Posts 495 Reaction score 575 Mar 22, 2017 #1 Natafuta chumba maeneo ya tandika kwa mama kibonge. Chumba cha kawaida tu.. Kiwe na umeme, maji will add advantage
Natafuta chumba maeneo ya tandika kwa mama kibonge. Chumba cha kawaida tu.. Kiwe na umeme, maji will add advantage
G gwamaka aswile Senior Member Joined Mar 26, 2015 Posts 186 Reaction score 106 Mar 22, 2017 #2 sir mweli said: Natafuta chumba maeneo ya tandika kwa mama kibonge. Chumba cha kawaida tu.. Kiwe na umeme, maji will add advantage Click to expand... maeneo ya mwembe yanga kuna chumba na sebule ndani ya geti kodi laki 6 miezi sita
sir mweli said: Natafuta chumba maeneo ya tandika kwa mama kibonge. Chumba cha kawaida tu.. Kiwe na umeme, maji will add advantage Click to expand... maeneo ya mwembe yanga kuna chumba na sebule ndani ya geti kodi laki 6 miezi sita
247 Senior Member Joined Mar 29, 2016 Posts 188 Reaction score 197 Mar 22, 2017 #3 Kwa Mama kibonge sio tandika mkuu.
Mkomoli JF-Expert Member Joined Jul 16, 2016 Posts 382 Reaction score 197 Mar 22, 2017 #4 yombo kilakala chumba na valanda
G gwamaka aswile Senior Member Joined Mar 26, 2015 Posts 186 Reaction score 106 Mar 22, 2017 #5 Padri Mcharo said: Laki 6 miezi sita!!! Unamaanisha kodi kwa mwezi ni laki 6 au laki 1?? Click to expand... laki moja kwa vyumba vyote viwili
Padri Mcharo said: Laki 6 miezi sita!!! Unamaanisha kodi kwa mwezi ni laki 6 au laki 1?? Click to expand... laki moja kwa vyumba vyote viwili
sir mweli JF-Expert Member Joined Feb 8, 2017 Posts 495 Reaction score 575 Mar 23, 2017 Thread starter #6 247 said: Kwa Mama kibonge sio tandika mkuu. Click to expand... Sawa mkuu... Ila maeneo hayo