Hassan malika Member Joined Oct 15, 2020 Posts 36 Reaction score 26 Nov 20, 2020 #1 Habari wanaJF, Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya SUA mazimbu campus, chumba kiwe karibu na chuo, kwa yeyote anayeweza kunisaidia tafadhali naomba ani-PM. Natanguliza shukrani zangu za dhati!
Habari wanaJF, Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya SUA mazimbu campus, chumba kiwe karibu na chuo, kwa yeyote anayeweza kunisaidia tafadhali naomba ani-PM. Natanguliza shukrani zangu za dhati!
Cvez JF-Expert Member Joined May 19, 2018 Posts 4,483 Reaction score 13,676 Nov 20, 2020 #2 Nenda kwa mama Swalehe ananyumba Transformer baada ya makaburini bi mkubwa fulani safi sana. Kama utapata room usiwaze chukua tu.
Nenda kwa mama Swalehe ananyumba Transformer baada ya makaburini bi mkubwa fulani safi sana. Kama utapata room usiwaze chukua tu.
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,250 Reaction score 39,775 Nov 20, 2020 #3 Cvez said: Nenda kwa Mama Swalehe ananyumba Transformer baada ya makaburini bi mkubwa fulani safi sana. Kama utapata room usiwaze chukua tu Click to expand... Bei gani?
Cvez said: Nenda kwa Mama Swalehe ananyumba Transformer baada ya makaburini bi mkubwa fulani safi sana. Kama utapata room usiwaze chukua tu Click to expand... Bei gani?
Cvez JF-Expert Member Joined May 19, 2018 Posts 4,483 Reaction score 13,676 Nov 20, 2020 #4 joshua_ok said: Bei gani? Click to expand... Ilikua 30 kwa 35 sijui kwa sasa
Mlolongo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 3,654 Reaction score 6,545 Nov 20, 2020 #5 Cvez said: Ilikua 30 kwa 35 sijui kwa sasa Click to expand... Very cheap. Hiyo ilikua mwaka gani
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,809 Reaction score 61,692 Nov 20, 2020 #6 nimetafuna totoz tam sana kipindi nipo Dark City Mazimbu pale, totoz za chuo tam mnoo
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 46,202 Reaction score 90,600 Nov 20, 2020 #7 dronedrake said: nimetafuna totoz tam sana kipindi nipo Dark City Mazimbu pale, totoz za chuo tam mnoo Click to expand... Ndio yalikuwa maeneo yako ya kujidai
dronedrake said: nimetafuna totoz tam sana kipindi nipo Dark City Mazimbu pale, totoz za chuo tam mnoo Click to expand... Ndio yalikuwa maeneo yako ya kujidai