Mkuu umenichekesha sana vyumba unatafutia Jf?.mm naishi tabata hebu pitia Kilimanjaro hiki ndio kijiwe kikubwa cha madalari tbt nenda kwa bibi segerea mwisho na kituo kimoja kabla hujafika kinyerezi mwisho kuna madalari hapo pote nilipokutajia.madalari wengi hawaingii humu labda upate bahati mtu ana nyumba yake