sonofobia JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 1,294 Reaction score 4,680 Jul 26, 2015 #1 Wakuu natafuta chumba kimoja master...kiwe maeneo ya Tabata au Kinyerezi...Bei iwe kwenye range ya elfu 50 mpaka elfu 70 miezi 6..Isiwe mabondeni wala isiwe na masharti mengi mimi ni bachelor.Mwenye taarifa au mwenye chumba aniPM .
Wakuu natafuta chumba kimoja master...kiwe maeneo ya Tabata au Kinyerezi...Bei iwe kwenye range ya elfu 50 mpaka elfu 70 miezi 6..Isiwe mabondeni wala isiwe na masharti mengi mimi ni bachelor.Mwenye taarifa au mwenye chumba aniPM .