mzama chumvini
JF-Expert Member
- Mar 14, 2016
- 730
- 644
vyumba viwili na sebule wangapi per month?Ngoja waje mimi ninavyo mwenge, ila Kuna dalali namfahamu kule nitamcheki kesho kama anavyo
Fanya Maulizo mkuu Nitakupa MotishaNgoja waje mimi ninavyo mwenge, ila Kuna dalali namfahamu kule nitamcheki kesho kama anavyo
PM namba Mkuu.Kimara baruti hapa chumba kizur kipo umeme maji vyote vipo nyumba 1 ila ina luku 3 tofaut