natafuta chumba cha kupanga

Allency

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2011
Posts
16,300
Reaction score
16,308
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya sinza, kijitonyama ikibdi mbezi beach,
Sifa ya chumba:
kiwe kizuri na rangi nzuri.
kuwe na fence kwani nina pikipk hivyo kuwe na usalama wa kuilaza kma fence hakuna.
Bei yangu:
Ninaweza lipa kuanzia laki moja mpka laki moja na nusu.
Ni PM nkupe namba yangu kama unacho chumba tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…