king j wa kwanza New Member Joined May 13, 2018 Posts 3 Reaction score 0 May 14, 2018 #1 Natafuta chumba single kiwe self mitaa ya Banana, Keko au Airport Dar es Salam. Msaada ndugu zangu.
Mng'ongo JF-Expert Member Joined Nov 13, 2013 Posts 243 Reaction score 191 May 15, 2018 #2 king j wa kwanza said: Natafuta chumba single kiwe self mitaa ya Banana, Keko au Airport Dar es Salam. Msaada ndugu zangu. Click to expand... Mombasa vipi? karibu na kituo cha kwa Mahita njia ya kwenda moshi bar chumba kikubwa pia ni self kipo karibu na barabara
king j wa kwanza said: Natafuta chumba single kiwe self mitaa ya Banana, Keko au Airport Dar es Salam. Msaada ndugu zangu. Click to expand... Mombasa vipi? karibu na kituo cha kwa Mahita njia ya kwenda moshi bar chumba kikubwa pia ni self kipo karibu na barabara
jerryempire JF-Expert Member Joined Jan 4, 2017 Posts 5,830 Reaction score 10,091 May 29, 2018 #3 sh ngapi kwa mwezi?