Natafuta chumba cha kupanga

thA goD

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
1,943
Reaction score
1,857
husika na kichwa,
Natafuta chumba maeneo ya Magomeni,mnazi mmoja,Fire au Argentina kiwe kimoja tu,sina familia ndo kwanza nasoma,kiwe na Choo swafi,umeme na maji na security iwe maximum wasije nipiga tu-pc twangu.
Gharama za kodi napenda nilipe kwa mwaka,sipendi kelele na wamiliki wa nyumba mm,nahitaj concentration ya kutosha skul.

Mwenye kunisaidia kwa hilo anichek kwa namba,
0659319763 au
0625697394.
Natanguliza shukrani za dhati sana,
Mwenzen asaiv bado nalala hapa booking office,sina pa kwenda afta class hours.
 
Ubungo utakaa? Jibu fast
 
Hapa town mkuu,chuo flani cha Engineering.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…