Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya magomeni

TASMANIA

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
656
723
Yeyote mwenye taarifa ya chumba single maeneo hayo magomeni mikumi anijuze, kodi isizidi 40,000/- kwa mwezi.
 
He kumbe wote tunaota,tangu mwaka jana,si mpangaji mwenyewe kaishapata mtoto kwenye chumba kipya?
We CYBERTEQ na mwenzio vipi,hembu kalale tena,sio mnaweweseka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…