jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,875
- 10,198
Kwanini unakodisha kwa wanawake tuu? Tena walio single?! Umeweka na age limit?vip wewe ni mwanamke au mwanamke.. Mimi natoa ofa kwa vyumba self contained, maji yapo umeme, ndani vigae, madirisha alluminium..gari inafika mpaka ndani vyumba vipo mjini kabisa kodi sh 20,000 kwa mwezi.. Masharti nakodisha kwa mwanamke tuu aliye single age/umri(18-23), haruhusiwi kuingiza mwanaume ndani ya nyumba yangu... Karibuni sana wadau
Hapo anatafuta mke[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kwanini unakodisha kwa wanawake tuu? Tena walio single?! Umeweka na age limit?
Hivyo ni vyumba vya kupanga au ni mitego ya kuwakamatia wadada?
Kwanini usimpangishie yule dada yako anayeteseka kwenye nyumba za watu?vip wewe ni mwanamke au mwanamke.. Mimi natoa ofa kwa vyumba self contained, maji yapo umeme, ndani vigae, madirisha alluminium..gari inafika mpaka ndani vyumba vipo mjini kabisa kodi sh 20,000 kwa mwezi.. Masharti nakodisha kwa mwanamke tuu aliye single age/umri(18-23), haruhusiwi kuingiza mwanaume ndani ya nyumba yangu... Karibuni sana wadau
hahaha mkuu hujui wanawake ndio mapambo ya nyumba..???.nafurahi sana nikiwaona wakipita pita kwenye nyumba zangu...😛😛😛Kwanini unakodisha kwa wanawake tuu? Tena walio single?! Umeweka na age limit?
Hivyo ni vyumba vya kupanga au ni mitego ya kuwakamatia wadada?
Kipo wapi?kuna chumba na sebule na choo ndani ila maji unachota nje na kuhusu umeme tuna share, ni laki moja kwa mwezi na unapanda magari mawili mpaka town
machimbo ya kitundaKipo wapi?
mmmh sema unataka mke tu alafu domo zege[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]vip wewe ni mwanamke au mwanamke.. Mimi natoa ofa kwa vyumba self contained, maji yapo umeme, ndani vigae, madirisha alluminium..gari inafika mpaka ndani vyumba vipo mjini kabisa kodi sh 20,000 kwa mwezi.. Masharti nakodisha kwa mwanamke tuu aliye single age/umri(18-23), haruhusiwi kuingiza mwanaume ndani ya nyumba yangu... Karibuni sana wadau
naweza kuona japo picha zake coz naweza change mawazokuna chumba na sebule na choo ndani ila maji unachota nje na kuhusu umeme tuna share, ni laki moja kwa mwezi na unapanda magari mawili mpaka town
hahahaha.. kama dada yako, mkeo, au mamaako anataka chumba mwambie vipo kwangu kwa bei chee..mmmh sema unataka mke tu alafu domo zege[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu kwema?Mie nahitaji Tegeta
Mkuu kwema?
Sorry, Unahitaji Tegeta au Unahitaji Chumba/Nyumba??
Wapi huko mzee!kuna chumba na sebule na choo ndani ila maji unachota nje na kuhusu umeme tuna share, ni laki moja kwa mwezi na unapanda magari mawili mpaka town