Habari za leo wanajukwaa?. Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Buguruni, kuanzia Buguruni sheli, Rozana, Malapa, hadi Msaada Gereji. Bajeti yangu ni 30,000/= nyumba uwe na maji na umeme. Asanteni. (Msaada tu, sina hela ya kulipa dalali).

Nitapata kupitia msamaria mwema ambaye ataamua kunisaidia akijua kuwa watu hatulingani vipato. Ni kama msaada tu, tujifunze kutoa msaada, hata Mimi niliwahi kuwa dalali katika mkoa mmoja wa kusini, kuna muda nilikuwa natoa tu msaada.