E El nino jr Member Joined Aug 7, 2014 Posts 66 Reaction score 24 Nov 27, 2017 #1 Habari za usiku wana jf,mimi natafuta chumba cha kupanga arusha mjini kisiwe mbali na jengo la OKI kisizidi sh 40000 kma kitapatikana tafadhali ni PM nawasilisha
Habari za usiku wana jf,mimi natafuta chumba cha kupanga arusha mjini kisiwe mbali na jengo la OKI kisizidi sh 40000 kma kitapatikana tafadhali ni PM nawasilisha
bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,713 Nov 29, 2017 #2 Mimi pia natafuta bajeti 30000 to 40000