F FADHILI KIKA Member Joined Jun 10, 2013 Posts 6 Reaction score 0 Jan 9, 2014 #1 Natafuta chumba na sebule cha kuishi maeneo ya Ubungo Kibangu, Riverside, Hostel visizidi 70,000/= Viwe na maji na umeme, kama maji yakipatikana kwa jirani sio mbaya. Please mwenye taarifa contact me through 0767843084 au 0655843084.
Natafuta chumba na sebule cha kuishi maeneo ya Ubungo Kibangu, Riverside, Hostel visizidi 70,000/= Viwe na maji na umeme, kama maji yakipatikana kwa jirani sio mbaya. Please mwenye taarifa contact me through 0767843084 au 0655843084.
Shamkware JF-Expert Member Joined Nov 25, 2013 Posts 1,755 Reaction score 2,303 Jan 9, 2014 #2 madalali kwani Hakuna?
Mlolongo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 3,630 Reaction score 6,495 Aug 25, 2020 #3 Nataka kuishi Kibangu, nasikia kuna shida sana ya maji