DEVUQUARTER-DEVUKOTA JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 352 Reaction score 117 Mar 10, 2013 #1 Wanajamvi naomba mnijuze wapi naweza kupata betri la laptop aina ya Asus model K72 JR-TYQ 77D? Mwenye kujua zinapopatikana na bei yake anijuze please.
Wanajamvi naomba mnijuze wapi naweza kupata betri la laptop aina ya Asus model K72 JR-TYQ 77D? Mwenye kujua zinapopatikana na bei yake anijuze please.
Clajago Member Joined Oct 25, 2011 Posts 87 Reaction score 10 Mar 11, 2013 #2 Jaribu nenda pale Computronix kabla hujafika Sapna,pale wanakubali kutoa order na ukalipa kiasi na watakapoipata wakiileta Dar unamalizia ankara zilizobaki wanakupa bettery yako. Nawasilisha.
Jaribu nenda pale Computronix kabla hujafika Sapna,pale wanakubali kutoa order na ukalipa kiasi na watakapoipata wakiileta Dar unamalizia ankara zilizobaki wanakupa bettery yako. Nawasilisha.