Mimi G Member Joined Jan 15, 2017 Posts 5 Reaction score 0 Jan 16, 2017 #1 Hello wana Jf mie ni binti wa miaka 21 nimemaliza diploma ya sheria, natafuta ajira yoyote halali, Sana sana sehemu kama Tabora, Nzega, dodoma, au Singida Kama pia kuna sehemu nyingine tofauti na izo nilizotaja unaweza nitafuta namba 06866661401
Hello wana Jf mie ni binti wa miaka 21 nimemaliza diploma ya sheria, natafuta ajira yoyote halali, Sana sana sehemu kama Tabora, Nzega, dodoma, au Singida Kama pia kuna sehemu nyingine tofauti na izo nilizotaja unaweza nitafuta namba 06866661401
Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,112 Reaction score 4,663 Jan 16, 2017 #2 Kamtoee lema
Mimi G Member Joined Jan 15, 2017 Posts 5 Reaction score 0 Jan 16, 2017 Thread starter #3 sawa nitaenda