Nina duka la vyakula na bidhaa nyingine mbalimbali,nahitaji accounting package kwa bei nafuu itakayoniwezesha kutunza kumbukumbu za biashara hii vizuri.Mwenye taarifa au mhusika tafadhali.

open source is much more better for me. it is easy to customize and is available at an affordable cost. ni pm if you interested tuanze kufanya setup of your business including a proper chart of accounts