Nahitaji apartment ya kupanga Manispaa ya Morogoro, yenye vyumba viwili hadi vitatu vya kulala. Muhimu chumba walau kimoja kiwe self contained. Tafadhali ni-pm ukiambatanisha picha na maelezo machache ya msingi kuhusu apartment yako.
Mtafute huyu bwana anaitwa reuben (071) 468-1008,ni commission agents wako vizuri sana hata mie nimepata nyumba kupitia kwake na contacts zake nilizipata humu JF baada ya kutoa tangazo la kutafuta nyumba...