NATAFTA KAZI

Tas Security

New Member
Joined
Dec 5, 2018
Posts
2
Reaction score
0
Naitwa Tryphone Alfredy Umri wa Miaka 35 Natafta kazi kwa nafasi zifuatazo katika sekta yeyote ndani ya Tanzania.
Elimu: Bachelor Degree Holder
JKT, JWTZ- Certificate
Kazi kwa sasa : Branch Manager Intelligence Security Dar es Salaam

NAOMBA NAFASI MOJA KATI YA ZIFUATAZO...

- SECURITY MANAGER,
- OPERATIONS,
- INVESTIGATIONS,
- Chief INSTRUCTOR,
- GENERAL MANAGER,
-kwenye Taasisi binafsi hata Serikarini.Call. 0754986532,0718142350,0693307749
 
Nina degree ya Logistics and Transport Management (NIT)

Form six certificate, (Twitange High School)

Cheti kutoka Jeshi la kujenga Taifa (JKT)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…