N Ndelianarua mtui New Member Joined Sep 9, 2017 Posts 3 Reaction score 1 Jun 13, 2019 #1 Kwa yeyote anayejua shule inayotafta teacher wa phyisics wadau
Optimistic_ JF-Expert Member Joined Feb 12, 2017 Posts 2,347 Reaction score 1,860 Jun 13, 2019 #2 Ndelianarua mtui said: Kwa yeyote anayejua shule inayotafta teacher wa phyisics wadau Click to expand... Mkuu kama una vyeti vya professional peleka private school utapata tuuu Na wakati unaendelea kusubiri fungua tution centre fanya kazi
Ndelianarua mtui said: Kwa yeyote anayejua shule inayotafta teacher wa phyisics wadau Click to expand... Mkuu kama una vyeti vya professional peleka private school utapata tuuu Na wakati unaendelea kusubiri fungua tution centre fanya kazi
Wgr30 JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 1,770 Reaction score 2,388 Jun 13, 2019 #3 Uko wapi mkuu, jana nilikuwa ofisi fulani katika maongezi wakawa wanahitaji walimu wa science!
Mr Morogoro JF-Expert Member Joined Apr 23, 2019 Posts 1,245 Reaction score 1,734 Jun 13, 2019 #4 Mkuu wanahitaji na walimu wa mathematics?? Wgr30 said: Uko wapi mkuu, jana nilikuwa ofisi fulani katika maongezi wakawa wanahitaji walimu wa science! Click to expand...
Mkuu wanahitaji na walimu wa mathematics?? Wgr30 said: Uko wapi mkuu, jana nilikuwa ofisi fulani katika maongezi wakawa wanahitaji walimu wa science! Click to expand...
Wgr30 JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 1,770 Reaction score 2,388 Jun 13, 2019 #5 Mr Morogoro said: Mkuu wanahitaji na walimu wa mathematics?? Click to expand... Kuhusu hilo sina hakika mkuu! Lakini kama unavyojua masomo kama hayo walimu ni wachache yawezekana akahitajika
Mr Morogoro said: Mkuu wanahitaji na walimu wa mathematics?? Click to expand... Kuhusu hilo sina hakika mkuu! Lakini kama unavyojua masomo kama hayo walimu ni wachache yawezekana akahitajika
Mr Morogoro JF-Expert Member Joined Apr 23, 2019 Posts 1,245 Reaction score 1,734 Jun 13, 2019 #6 Wgr30 said: Kuhusu hilo sina hakika mkuu! Lakini kama unavyojua masomo kama hayo walimu ni wachache yawezekana akahitajika Click to expand... Nakuja pm mkuu
Wgr30 said: Kuhusu hilo sina hakika mkuu! Lakini kama unavyojua masomo kama hayo walimu ni wachache yawezekana akahitajika Click to expand... Nakuja pm mkuu