Wakati huu wa mitihani kanunuwe supositories upate unafuu wa maumivu. Lakini kwa maelezo yako kuumwa na tumbo upande wa kushoto unapojaa gesi, hii inaonyesha kuna infection ambayo yaweza kuwa chronic. Nunuwa ANUSOL CREAM au SUPOSITORIES na ukimaliza mitihani tu mwone daktari akupatie tiba.