Habari wakubwa zangu,
Nimewaletea stationary ya kibabe zaidi ambayo inatoa huduma kwa bei nafuu kabisa sawa na bure.
Tunatoa huduma zote za secretarial services kama vile printing, typing, binding lamination, copies na tunatengeneza business card.
Pia tunasambaza [supply] files, rim papers, pen, n.k mashuleni na maofisini.
Tunapatikana mikocheni mtaa wa regent estate.
Kwa mawasiliano zaidi tucheki;
joeljames544@gmail.com,
0762292717,
0625476398.
Nyote mnakaribishwa.
Ahsanteni.