Jamani naombà. Msaada Wa Tiba ya huu ugonjwa kwani maumivi take niakali hata antipain zimenigomea. Huwa inamisumbua kwemye femar pamoja na paja na goti . kila Sawa nikitumia maumivu uayakati na uvimbe pia. Hospitality walisema Nina tatizo la Clinic asteoarthritis