Tanganyikana
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,160
- 364
Sasa si umwambie tu mkuu
Nataka pesa yangu hata kama ukiniblock
Ya a Womanizer !
Acha ukuzi...huyo ni manzi ananizingua kinoma.
Habarini wadau,
Natumia simu ya kawaida ya Samsung Gallaxy Trend S7580,system yake ni ya android. Kuna mtu ananisumbua sana na nimeadd number yake as a Spam number ila bado akituma msg zinanifikia.
Nataka akipiga asinipate na hata akituma msg isifike kwenye simu yangu,je nakosea wapi? Naomba nielekezwe namna ya kufanya.
unauhakika gn kwmb huy sio manzi?
Kama anakudai mlipe 2.