Kama kuna fashion ambayo imeniteka ni hii ya shift dresses. Naweza kukaa hata masaa sita naangalia shift dresses online. Nadhani ni aina ya style ambayo inaweza kumpendeza mtu yeyote yule regardless of their body type. Halafu ni nguo fulani inakuweka huru katika ocassion yoyote (unless waenda kupanda mlima).
So ngoja nishare na wanafashooooon (in Deo Kithama's voice) wenzangu tuangalie how twaweza kuincorporate hii fashion kwenye style zetu binafsi.
Waweza kuvaa ufukweni na hata kwenye date
View attachment 361534
Waweza kuvaa ukaenda kwenye mizunguko yako ya hapa na pale.
View attachment 361535
Waweza kwenda nayo ofisini au kukutana na wateja wa kibiashara.
View attachment 361536
Wenye miili yao pia wanahusika, si vimodo tu.
View attachment 361537
Kwa mitoko ya sherehe mbalimbali.
View attachment 361538
View attachment 361539
View attachment 361540
Shift dress ya Kanga ni checheeeee, ya kitenge ndo hatari.
View attachment 361541
Kwa mama Vijacho ndo nguo mahsusi kabisaa....
View attachment 361546
View attachment 361547