Ndg yangu Chama Kinakufa lakini Taifa halifi.Mfano baada tu ya Uchanguzi mkuu 2015, CCM itakuwa mahututi na baadae LAZIMA ife kabisa, lakini Tanzania letu Chini ya UKAWA ndo itakuwa inamelemeta huku Tukiwa na sera za uwazi na Ukweli na Misaada ikitiririka bila hata kuombwa toka kwa wafadhili walioishitukia CCM na serikali yake. Ukweli ni mchungu lakini CCM inayoenda kufa si zaidi 2016.