Kwa hatua iliyofikia inaonesha wazi viongozi wa CCM wanawahadaa wanachama, Ndugu yangu Nape juzi alisema Lowassa hafai kuwa hata balozi wa nyumba kumi (10) Lakini ni Lowassa huyu huyu aliyekuwa waziri mkuu chini ya utawala wa CCM,Sasa balozi wa nyumba kumi na waziri mkuu nani mwenye majukumu mengi?
kwa kuwa alionekana hafai akapigwa chini.... yuko sawia
Nape anawahadaa na Mbowe anawahadaa pia, ngoma droo
Mbowe katuhadaa kwa lipi?
Kusema EL hana dosari ndo maana hajachukuliwa hatua na ccm
mbowe ndo kazidi kuwahadaaa ukawa