Nape kesho anatarajiwa kuelezea namna Chadema wanavyopokea fedha za kifedhuli kutoka kwa wakoloni. Ni katika mkutano wa hadhara Morogoro kesho Jumapili.
Kila mmoja ananafasi yake, wote wataunguruma, wakati Katibu Mkuu akipokea mwanachama mpya ambaye ni Mbunge wa Chadema, Nape atatema cheche Kwenye mambo ya utekelezaji aw Ilani ya uchaguzi
Inatakiwa hawa viongozi wetu waeleze sera za Chama chao na kutueleza ahadi za rais zimetekelezeka kwa kiasi gani hadi sasa na nini mkakati wa chama sio kutueleza Habari za CHADEMA kwani zinatusaidiaje Wananchi??