Evarm JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 2,000 Reaction score 1,560 Dec 31, 2023 #22 kingkongtz said: ndugu zangu nawashukuru sana maoni yenu yamesaidia ,nlienda duka la dawa nikapewa vidonge vidogo vidogo kama 6 nikaambiwa nimeze vyote,baada ya muda kdogo mzgo umeshuka wote najiskia huru sasa nipo nakunywa maji mengi Click to expand... Tumia pia hizo za asili ulizoelekezwa hapo juu. Ni kwa faida yako. 1. Kula papai lililoiva. Kula matunda sio lazima uambiwe na daktari. 2. Tengeneza wewe mwenyewe juisi ya ukwaju, unywe. Hii husaidia mambo mengi mwilini mwako mkuu.
kingkongtz said: ndugu zangu nawashukuru sana maoni yenu yamesaidia ,nlienda duka la dawa nikapewa vidonge vidogo vidogo kama 6 nikaambiwa nimeze vyote,baada ya muda kdogo mzgo umeshuka wote najiskia huru sasa nipo nakunywa maji mengi Click to expand... Tumia pia hizo za asili ulizoelekezwa hapo juu. Ni kwa faida yako. 1. Kula papai lililoiva. Kula matunda sio lazima uambiwe na daktari. 2. Tengeneza wewe mwenyewe juisi ya ukwaju, unywe. Hii husaidia mambo mengi mwilini mwako mkuu.