NAPANGISHA NYUMBA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Posts
16,952
Reaction score
10,512
NAPANGISHA NYUMBA YANGU MPYA IPO KIGAMBONI TOANGOMA NI NYUMBA YA KUISHI FAMILIA MOJA. INA VYUMBA VITATU 3 MASTER INA UMEME MAJI INA UKUTA MZURI.
INAVIEW NZURI MBELE KUNA KOTA ZA NSSF KIGAMBONI.
BEI NI TSH 350,000/=@MWEZI
NAHITAJI KODI YA MIEZI 6 UKIWEZA MWAKA MMOJA.

KARIBUNI














 

Attachments

  • nyumba.jpg
    59.9 KB · Views: 33
  • upload_2017-5-16_16-42-35.png
    134.7 KB · Views: 35
[emoji41]
ni

nimesharekebisha
Weka picha baada ya marekebisho maana hiyo ni biashara kwa faida yako na najua humu JF kuna mawazo mengi. Ni ushauri tu
 
[emoji41]
Weka picha baada ya marekebisho maana hiyo ni biashara kwa faida yako na najua humu JF kuna mawazo mengi. Ni ushauri tu
ni hapo tu mkuu pamekukinaisha au...
itakuwa vizuri tu uje kujionea mwenyewe kama ni muhitaji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…