Naombeni ushauri

NDARAGIJE

Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
5
Reaction score
0
:crying::crying::crying::crying:NAOMBEN MNISHAURI
nilimaliza kidato cha nne mwaka jana nina miaka (19) jinsia me) mchepuo science nina GPA 3.4
niliumwa hivyo nilirudishwa nyumbani kwa ajili ya matibabu wiki moja tu baada ya kuripo shuleni nilichaguliwa PCB
NA MPAKA MDA huu cjasoma kitu chochote na cna idea kwan sikuxoma tution kulingana na uwezo mdogo wa kiuchumi
wezangu wameshafika mbali kimasomo je nirudie mwaka.Kuna kaka mmoja nilimwaleza juu ya mkasa huu yeye amenishauri nirudie kwani pcb cio mchezo pia rafiki yangu anayesoma comb hiyo ameahidi kunifundisha
 


Nisadieni nifanyeje naogopa kufeli na sijasoma kitu chochote je nirudie mwaka
 
inategemeana na uwezo wako pia ila kama uko vizuri kichwani kwa muda huo sio kama wame cover vitu vingi sana. unaweza kujiunga nao na ukafanya vizuri. naijua PCB maana nimesoma pia combination hiyo miaka kadhaa iliyopita
 
Rudia lakini kipind hk unajiandaa kurudia mbane jamaa ako awe anakupigia pind..
 

usirudie una uwezo wa kufanya vizuri tu so kuna rafiki yangu sana alichelewa miezi sita almost na hajasoma tuition wala mini ila amefaulu na BCC kwa hiyo unaweza ukafaulu pia ondo a shaka kabisa MTU asikutishe eti PCB utafeli ofcoz ni ngumu ila inategemeana na wewe mwenyewe NB unaweza rudia na kufeli vilevile just be dedicated and committed and then success will follow you nimeisoma comb his naijua vizuri.
 
Thanx all kwa ushauri wenu maneno yenu yamenipatia mwanzo mpya
Thanx all
 
Ukitegemea ukasome shule itakula kwako jipange kivingine, shule n kituo cha kufanyia mtihan tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…