tukushauri nini???
uamuzi ni wako umpe kitumbua au usimpe.
ni kitu rahisi sana hichi ila naona kama unalegea unawaza kuachia kidude.
USHAURI WANGU::::ukimpa gemu awe na mkwanja mreefu siyo utembee nae bila faida kama hana hela mfungulie mashtaka ya usumbufu akae mbali na we
Huyo ni mume wa mtu sasa basi hakikisha we kilometa 100
I hope your not my sister .my sister is going through this .Well ndio alikupenda haswaa alivyokwenda uk mbona alikusahau well.Alikuwa anatapatapa Facebook Achana nae .unamiaka 40 he is not worth it ,brother men huyo .Anarudi kwa sababu usiolewe haya .I hope your not my sissy cause he is a looserhabari zenu!!!
mimi nina X wangu ambae tulitengana tangu2005, tulikua tunapendana sana zaidi ya sana tulikua form 4, tulipomaliza shuleyeye akaenda depo mimi na nikaenda chuo cha utangazaji kwa mda wote huo hatukuana mawasiliano tumekaja kukutana mwaka huu tayari akiwa na mke na watotowawili. sasa jaman tungu tulipoonana hatulii anataka turudishe mahusiano miminimemwambia haiwezekani sababu wewe tayari ni mme wa mtu japokua hatukosana natulikua tunapendana sana.sijui nifanyeje sababu hatulii na mimi upendo umerudi nishaurini nifanyeje je
Tukushauri nini ilhali na wewe unataka -----anzisheni tu kutenda dhanmbi