mdada unapata shida gani kwa maneno hayoo aloyatoa X wako??
hebu kwanza kabisa nenda mbele za Mungu kama kweli unamwamini kisha utubu. Mwambaie Mungu nakuomba uisamehe kwa kutumainia akili yangu na kumuogopa awezaye kuua mwili asiue roho. Kisha mwambie Mungu asimame na atete nao wanaoteta nawewe na yeye ashughulike nao, ainue mkono wake uwe ngao na kigao mbele zako amuangushe adui yako aaibike. shimo alilokuchimbia huyu adui yako adumbukie mwenyewe.
kisha auzame ndani ya damu ya Yesu jifunike jizungushie Moto wa Roho mtakatifu, mpige upofu adui yako asikuone kabisa. halafu sasa mshukuru sana Mungu kwasababu uhai wako umefichwa mikononi mwake na wala hata uacha mguu wako usogezwe na zaidi ya yote hata sinzia yeye aliye mlinzi wa israeli asikuone.
Asante kwa ushauri.ila jamani mwenzenu sielewi nimemkosea nini mpaka ananifikiria mabaya.kaniambia ananipa siku moja 2.
Habari wana jf!jamani mwenzenu naombeni ushuri.jamani kama mnakumbuka nilishawai kuja humu kuomba ushauri kuhusu matatizo ya mpenzi wangu ambaye kwa sasa ni X toka mwezi watatu mwaka huu.chakushangaza ama chakutisha X huyu amenipigia cm usiku huu nakuniambia maneno makari sana kiasi kwamba nimekosa adi amani.kanipigia cm kupitia number ngeni na nilipopokea kaniambia kuwa.Umenipotezea mda sana nanilikuwa nafikiria nikufanyanye ila baada yakujua chakukufanya nimeona leo nikwambie.akasema kuwa Nitakufanya kitu kibaya sana akasema labda sio yy anaetokea Usukumani.kiukweli kanitisha sana na mwisho akamalizia labda ningekuwa sifahamu majina yako yote matatu lakini yote nayajua lazima nikukomeshe.mpaka sasa sielewi atanifanyaje maana kasema ww siunajifanya unamjua sana yesu.mwenzenu nifanyaje maana alishawai kusema siku nikimuacha atahakikisha ananitoa duniani hata kwa mtt wa bunduki ili mladi asinione wala kunisikia duniani.niende wapi mwenzenu kwani yy mwenyewe ndo alishindwa makubaliano 2liyowai kuwekeana na aliniapia kuwa atajirekebisha lakini alishindwa.mungu wangu upo wapi uniokoe...

Tatizo lenu ni moja,mnayakologa then yakiwashinda ndo mnakimbilia kuomba ushauli,ni vyema tunge msikia na yeye ilituwweze kujua unayo ya sema ni kweli ua la ndo upate ushauli juu ya jambo lako.