Naombeni ushauri wana jamvi

Mkuu... Mapenzi ya shule na chuo ni utumwa... Nakumbuka niliwahi kuwa na dada mmoja hivi, hivyo hivyo ila chaajabu baada ya kuhitimu tu ghafla tukaachana mara paap nikaja kupata stori kumbe wakati mimi napiga, yule rafiki yangu wa karibu kabisa alikuwa anajilia tu bila mimi kujua.. shenzi.....

Dogo langu piga shule ukifika wakati utampata tu unayestahili, kwa maana huyo wa six akimaliza tu akaingia chuo au mtaani andika maumivu kwa maana haina tofauti na aliye gerezani kumfungua awe huru kila kitu atakijaribu... HELL
 
hawa watu wanazingua sana aisee......ila pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…