mwipwa
Senior Member
- May 25, 2018
- 102
- 259
Naitwa ABEL...age 21.....
Nilikuwa na urafiki na binti ambaye ni jirani yetu..kwani wazazi wetu walikuwa marafiki wakubwa hadi kufikia stage ya kuombana chumvi,..Nk. Urafiki wetu uli ibua hisia za mapenzi baina yetu sote wawili kipindi hicho tulikuwa tunasoma.Yeye alikuwa kidato kimoja nyuma yangu....Michezo..utani..zawad za hapa na pale havikuisha tukiwa pamoja..ILI tosha kabisa kutuita wapenz kwan kila aliye tuona alituita hivyo mpaka familia zetu zote zilitambua hilo..Ilinipelekea kabisa kuamini kuwa huyu ni mke kabisa mtarajiwa..Kwa wakati wote huo sikuwahi kumtamkia kuwa nampenda wala yeye kunitamkia kuwa ananipenda..KIU kweli nilikuwa nampenda haswa. Niliona ni ujinga kukaa na kumuwaza mtu bila kujua kuwa hatima yenu.Hapo ndipo nilipo amua kumvuta pembeni na kumweleza ukweli kama mwanaume..BWANA weeh wanaume tunaita kishoka,chaga,kimbora nk..Manzi alikataa kabisa kana kwamba hanifahamu kabisa mpaka nilianza kumwogopa..sikuamini kilicho tokea...
Tangia hapo nilijiapiza kutoshirikana naye kwa jambo lolote na yeye alitambua hilo kwani niliamua kukaa mbali na yeye. Uhusiano mimi na yeye ulipungua mpaka wazazi wetu walitushangaa .Ilifika hadi stage nikafuta namba yake ya simu ili tu nisiwasiliane naye ...
Kwa sasa nipo mbali naye kwa sababu mimi nipo chuo yeye yupo anafanya mtihani wa six sahiz.
Amekua akinitafuta kila anapo rudi likizo lakini sijawahi kabisa kugusia suala la mapenzi baina yetu.
Naombeni ushauri wenu kwani nimejitahidi kuanzisha mahusiano na wanawake wengine lakin wap namfikiria yeye..waliowah kupenda wanajua hili...Kiukwel nampenda sana na imekuwa vigumu kumsahau ila ndo hvyo..
Please sihitaji matusi kwani comment sio lazma.....