Heshima zenu wakuu,itifak imezngatiwa!
Ndgu zangu kama nilivyowah kuleta uzi hapa jukwan,kuna mchumba nampenda sana naye pia ananipenda(kwa ninavyomuona) ila sasa
nmeona kabisa linapokuja swala la kufaya familia/kuoa hatuendan mambo mengi.
Sihitaj kuja kujuta au kuish maisha yasiyo na utulivu/aman
Naomben mbinu za kuachana nae/yeye aniache bila madhara mengi (maumivu mengi)…msaada wakuu
(Nilijarbu kumuacha mara kadhaa bila mafankio,n kama ananizd nguvu kwa upande mwingne namuonea huruma sana nkiwaza maumivu nayomsababishia akirud kuexcuse namsamehe lkn sion furure nae to be honest)
Naomba kuwasliaha kwa unyenyekevu mkubwa [emoji120][emoji120]