Naombeni ushauri, nataka nizae naye tu kisha nitulie

Mh huu upendo gani mbona sijawahi kuuona mimi
Achana na huyo dada.
Mimi najishangaa najaribu mpka kum block lakini akinitafuta kwa namba ngeni akaniomba msamaha najikuta nimemsamehe
 
Duhh ni kazi KWELIKWELI
 
Sawa,ntajitathimini kiongozi
 
Nah
Nashukuru sana kwa ushauri wako mkuu
 
AChana nae mapema kabla jua halijachwea
Huyo bint hakupendi , wewe ni mbadala tu, akishayatimba ndo anakutafta

hatokuja kuachana na mzazi mwenziye , ila km utaweza kuishi kwenye maumivu miaka yote basi endelea nae mkuu
Kila la heri
Sawa, nashukuru kwa ushauri
 
Jipige kifua halafu useme mimi ni zobaa
 
ebu fikiria ni wewe unasoma hii story

yaani demu akukatae aende anakoenda apigwe mimba halafu arudi kwako na wewe unakubali....then unaishi naye na wewe unamtia mimba halafu unamwambia atoe....baadae unataka tena umtie mimba uzae naye ebu hata wewe mwenyewe ndo ungekuwa sisi unasoma haya maeelezo ungejisikiaje.

hii scenario ilibidi ailete huyo mwananke ndo tungemshauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…