Naombeni msaada wapendwa.....nahitaji kusomea ujuzi wa umeme wa magari, ngazi yangu ya elimu ni kidato cha nne sikubaatika kupata alama nzuri za masomo.Nilipata four ya 30;
Civ......D
Hist.....D
Geo.....F
Kisw...D
Eng.....F
Phy.....D
Chy.....F
Bio......D
Math...F
Nahitaji kujiendeleza mdogo wenu.Kwasasa mm ni police officers na nina mwaka mmoja tuu kazini naombeni ushauri wenu.