Msaada jamanii TCU imenipa posta ya kwenda SAUT-BUKOBA - coarse ya BAED alafu nikiangalia kwenye list selected applicant wa SAUT MAIN compus wala sipo ni nikiangalia kwenye website ya SAUT-BUKOBA branch hawajatoa list ya selected applicant alafu nikiwapigia wanasema niangalie kwenye Main compus ndio kuna list zote apa nimechanganyikiwa sielewi wakuu naomba msaada