Nimetoka celo nipo nipo mtaaani NAHITAJI kujua JE MIE natakiwa kumtafuta mtuhumiwa???Umesema umeshatoka "celo" lakini umeandika uzi kama vile bado upo "celo".
Ungetulia uandike ueleweke.
Tulivyoenda dukani hatukumkuta yye alikuwepo mdgo wake walinikamata watu wa mbegu mzigo ulikamtwa upo kituo cha POLICE MSAAADA WAKO MKUUIMlivyoenda dukani kwake huyo mtu alikuwa wapi.
Wewe alikukamata nani?
Mzigo uliokamatwa naoupo wapi?
Tulivyoenda dukani hatukumkuta yye alikuwepo mdgo wake walinikamata watu wa mbegu mzigo ulikamtwa upo kituo cha POLICE MSAAADA WAKO MKUUI
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio shahidi ninae anamtambua kuwa yye ndio huwa ananiuzia mzigo na aliniletea mpka dukan Kwangu alijua na pikipiki mida ya saaa sita mchana mkuuu waweza nicheki 0682050189Upo mkoa gani mkuu,
Nenda kwenye law firm onana na mwanasheria akusaidie wewe ukiwa unaendelea na mambo yako ya kutafuta pesa..
Police kama wamekwambia uwe unaendea kureport,fanya uchunguzi wa huyo jamaa anapatikana wapi?analala wapi?
Ikiwezekana nenda na police usiku nyumbani kwa huyo jamaa mkamkamte.
Una ushahidi wowote kwamba huyo jamaa ndio aliyekuuzia mzigo?
Nipo mkoa wa morogoro wilaya na mvomero Kata ya dakawa kijiji cha wami dakawaUpo mkoa gani mkuu,